Lirik lagu Jay Melody Nakupenda
Download aplikasi lirik lagu terlengkap Disini (Android)
 
Iwe giza baridi na upepo
Iwe kuna mawingu na minyesho
Your body baby joto (joto)
Unafanya nijihisi special
Unanipa sababu ya uwepo
Kando yako we mtoto

My desire we nipe dawa mi mahututi
Sijielewi ooh my God
Shida ni nimekolea penzini
Shida ni baby uko moyoni wewe

Nakupenda we
Nakutaka we
Kwako sijiwezi
Ooh my love
Mpenzi we
Roho yangu we
Kwako sijiwezi
Ooh my love

Akili mwili baby
Hasira zangu navituliza
Ukiongea nasikiliza
Yote sababu ya upendo
Pili pili baby
Vindimu chumvi ya kunyunyiza
Yani uroda kupitiliza
Nimeumaliza mwendo

Kiukweli napendwa nachanganywa
Na haya ma raha
Shida ni nimekolea penzini
Shida ni baby uko moyoni, wewe

Nakupenda we (anhaaa)
Nakutaka we (oh nana nana)
Kwako sijiwezi
Ooh my love (ooh my baby)
Mpenzi we (oh nonono)
Roho yangu we (aaaah yayaya)
Kwako sijiwezi
Ooh my love
Download aplikasi lirik lagu terlengkap Disini (Android)


Tags :
lirik lagu Nakupenda Jay Melody, lirik lagu Jay Melody Nakupenda, lirik Nakupenda Jay Melody, lirik Jay Melody Nakupenda, Kumpulan lirik lagu Jay Melody terlengkap, Kumpulan lirik lagu Band Pop terlengkap, Kumpulan lirik lagu Band Pop Jay Melody terlengkap, Download Lirik Lagu Nakupenda Jay Melody, Chord dan Lirik Lagu Nakupenda Jay Melody, Terjemahan Lirik Lagu Nakupenda Jay Melody,Jay Melody Band Pop - Lirik Lagu Nakupenda, Profil Jay Melody dan Lagu Nakupenda, Genre Band Pop - Lirik Lagu Nakupenda Jay MelodyNakupenda
  Jay Melody   Writed by Admin  383x     Tuesday, 13-06-2023
Lagu lainya dari artis :
lirik lagu Nakupenda Jay Melody,
Share :
 
Facebook Twitter Google + Linkedin Instagram